• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mazingira na Udhibiti Taka ngumu

 MAJUKUMU YA IDARA YA  MAZINGIRA NA UDHIBITI WA TAKA NGUMU


1.    Kufuatilia utekelezaji wa Sera na Sheria zinazohusiana na usimamizi wa Mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Handeni


2.    Kufuatilia na kuainisha maeneo yaliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ambayo yanayopaswa kuhifadhiwa.


3.    Kushiriki katika kuandaa Mpangokazi na Bajeti ya Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu ya kila mwaka.


4.    Kushiriki kuutekeleza Mpango kazi wa Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu.


5.    Kutoa Elimu ya Hifadhi ya Mazingira kwa Jamii na wadau wengine.


6.    Kukusanya Takwimu na Taarifa mbalimbali zinazohusu usimamizi na hifadhi ya Mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya                     Handeni.


7.    Kutoa ushauri kuhusu maeneo yaliyoathirka kutokana na shughuli za uchumi zisizo endelevu (Kama vile – Uchimbaji wa                       madini,Kilimo, Ujenzi, Ufugaji nk.)


8.    Kushiriki katika kupanga na kusimamia zoezi zima la Usafi wa mazingira unaofanyika kila jumamosi ya mwisho ya kila mwezi.


9.    Kupitia Taarifa za Tathmini ya athari kwa Mazingira (EIA) zilizopo katika makampuni na Taasisi mbali mbali katika Halmashauri ya         Wilaya ya Handeni  na kuzifanyia kazi.


10.    Kuandika Taarifa ya kazi ulizozifanya katika mwezi husika na kuiwasilisha Taarifa hiyo kwa Afisa Mazingira na Udhibiti wa Taka               ngumu (H/W).


11.    Kufanya ufuatiliaji na ukaguzi wa vyanzo vya maji vilivyoko katika Halmashauriya Wilaya ya Handeni.


12.    Kujaza Fomu ya wazi ya mapitio na upimaji wa utendaji wa kazi (OPRAS) kwa kila mwaka.


13.    Kufanya  kazi nyinginezo utakazopangiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwa mujibu wa Sheria, Taratibu na Kanuni.




Tangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Mafunzo ya Sensa kwa Mwaka 2022 July 27, 2022
  • Tangazo la Kuitwa kwenye Mafunzo ya Sensa kwa Mwaka 2022 July 27, 2022
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KWAAJILI YA KAZI YA SENSA 2022 July 18, 2022
  • Tangazo la Kuitwa kwenye Mafunzo ya Sensa kwa Mwaka 2022 July 27, 2022
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Waziri Mkuu akagua ujenzi wa Nyumba.

    March 13, 2022
  • Kamati ya Ushauri ya Wilaya yafanya Kikao Maalum

    February 16, 2022
  • Mkuu wa Wilaya akabidhi Pikipiki.

    January 20, 2022
  • Handeni yafanya kikao cha baraza la wafakazinyakazi

    January 18, 2022
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

ALIYOZUNGUMZA MKIMBIZA MWENGE KITAIFA MARA BAADA YA KUFUNGUA BOHARI NDOGO YA DAWA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Handeni

    Postal Address: 355 Handeni

    Telephone: 0272977402

    Mobile: 0759760156

    Email: ded@handenidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa