• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Handeni yaanza Mwaka kwa Maombi Maalum

Imerushwa: January 3rd, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imeanzaa mwaka 2022 kwa maombi Maalum kwa kuliombea TAIFA na  watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.


Maombi hayo Maalum yameandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw.  Saitoti Zelothe Stephen Ili kumshukuru Mungu kwapamoja na watumishi wa Halmashauri kwa kuumaliza Mwaka 2021 Salama.


Bw. Saitoti Amemshukuru Mungu kwa kuumaliza Mwaka 2021 salama na amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliongoza Taifa na Kumshukuru pia kwa kuiona Handeni kwa jicho la pekee kwa kuiletea fedha kwaajili ya Miradi mbalimbali.


Maombi hayo Maalum yaliongozwa na Shehe Mkuu wa Wilaya ya Handeni Alhaji Shehe Shaban Mohamed Kizulwa  na Mchungaji Simon Mwakajila ambaye ni Makamu wa Askofu wa kanisa la FPCT Jimbo la Tanga akiwakilisha Jumuiya ya Kikisto.


Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wamemshukuru Mkurugenzi Mtendaji kwa kujua umuhimu wa kumshukuru Mungu na kuanza mwaka mwingine na Mungu kwa pamoja hivyo wamemuahidi ushirikiano,umoja na kufanya kazi kwa ufanisi.

Tangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2022 KWASHULE ZA SEKONDARI HANDENI VIJIJINI May 16, 2022
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Waziri Mkuu akagua ujenzi wa Nyumba.

    March 13, 2022
  • Kamati ya Ushauri ya Wilaya yafanya Kikao Maalum

    February 16, 2022
  • Mkuu wa Wilaya akabidhi Pikipiki.

    January 20, 2022
  • Handeni yafanya kikao cha baraza la wafakazinyakazi

    January 18, 2022
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

ALIYOZUNGUMZA MKIMBIZA MWENGE KITAIFA MARA BAADA YA KUFUNGUA BOHARI NDOGO YA DAWA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Handeni

    Postal Address: 355 Handeni

    Telephone: 0272977402

    Mobile: 0759760156

    Email: ded@handenidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa