Imerushwa: January 10th, 2018
Wazee zaidi ya 2000 wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Kata ya Kabuku wamepatiwa kadi ya utambulisho wa wazee kwa awamu ya pili ili kuweza kupata huduma ya matibabu bure kwa wazee.
&nb...
Imerushwa: December 7th, 2017
Watendaji na wataalamu wa Wilaya ya Handeni wametakiwa kusimamia na kuweka suala la elimu ya madhara ya ukeketaji kuwa ajenda rasmi kwenye vikao vyao ngazi ya Kata na Tarafa ili kukomesha kabisa...
Imerushwa: December 1st, 2017
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wametakiwa kuchukua hatua stahiki ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi kwani UKIMWI upo na maambukizi bado yapo.
...