Imerushwa: July 30th, 2017
Serikali Wilayani Handeni imewahakikishia wachimbaji wadogowadogo wa madini ya dhahabu zaidi ya 100 waliopo katika Kijiji cha Kwamsampa Kata ya Kwasunga kwamba hawataondolewa kwenye machimbo hayo iwap...
Imerushwa: July 2nd, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Martin Shigella ameipongeza Halmashauri ya Wiaya ya Handeni kwa kuwa na hati safi na kuwataka kufuata kanuni za manunuzi na kuweka kumbukumbu sahihi ili kuepuka kutenge...
Imerushwa: June 21st, 2017
Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh.Martine Shigella amewataka wahitimu wa mafunzo ya awali ya kijeshi ya vijana operasheni Magufuli awamu ya pili wa kujitolea kutumia mafunzo waliyoyapata kwa kuwa wazalen...