Imerushwa: June 12th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imefungua duka/stoo ya kuhifadhia dawa ili kukabiliana na changamoto ya upungufu na ukosefu wa dawa kwa wakati kwenye Hospitali ya Wilaya ya Handeni.
Uwepo wa duka ...
Imerushwa: June 7th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imefanya semina ya Uelewa wa fedha za ruzuku ya maendeleo iliyoboreshwa (LGDG) na mfumo wa Fursa na Vikwazo ulioboreshwa (IMPROVED O&OD) kwa Waheshimiwa Madi...
Imerushwa: June 6th, 2017
Wananchi wilayani Handeni wapigwa marufuku kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya mita 60 kutoka katika vyanzo vya maji na kutakiwa kutunza mazingira ili kuwezesha uendelevu wa maisha.
Marufuku hi...